Builiding (Ujenzi)

Kanisa letu tunampango wa ujenzi hapa Mburahati na kwenye matawi Yetu Yote tunatarajia kuwa nayo, kwa sasa mburahati tunajenga Jengo la Kuweza kuingiza watu 400, Plan yake ipo tayari kwa hesabu ya mwaka jana linagharimu Milion 200  za Kitanzania

Tunaendelea kuchangisha ili ifikapo January 2016 tuwe tumeanza Ujenzi.na tunaendelea kwenye Tawi letu la Gongolamboto tumeshanunua kiwanja tayari na kujenga hema la Ibada, Kwa sasa tunaendelea kufuatilia taratibu za Ujenzi.

Tawi  letu la Lugoba tumeshajenga jengo la Muda na tunahitajika tuongeze uwanja na tunakusudia kununua kwa Mtu ambaye Gharama zake zinafika 10 milion za Kitanzania

Tunaendelea kumtafuta huyo mwenye uwanja huo ili tuweze kumlipa ENDELEA KUOMBEA HILO

Tawi letu la Visiga tumeshanunua Plot kwa sasa tunafuatilia Hati Milki kwanza

ENDELEA KUOMBEA HAYO

KAMA UNAPENDA KUCHANGIA KAZI YA MUNGU ISONGE MBELE UNAWEZA KUWASILIANA NASI UKATUMA KIASI CHAKO KWA AIRTELL MONEY 0784737140

TIGOPESA 0655737140 AU M PESA 0762699754 au 0655106004

DCB BANK AC.032010000156 Mburahati baptist Church

No comments:

Post a Comment

Ads 468x60px

Featured Posts

Image Post

Sports Section

About us

Fashion Era

Recent Posts

Hakizote zimehifadhiwa na Pastor Josiah Samuely na Kutengenezwa na Baraka Msele

Text Widget

Text Widget

About Me (Kunihusu)

My photo
Katika Wito wangu Nilianza Huduma ya Kiuinjilisti mnamo mwaka 1986 nikiwa Chini ya Uangalizi wa Baba wa Kiroho Bishop Paul Dumi na nilianza wito wa Kichungaji 1993 na mnamo mwaka 1994 nilianzisha Kanisa rasmi la Mburahati Baptist Church, Ambapo kwa sasa ndio Mchungaji Kiongozi na kwa sasa nina matawi Matano (5) MAONO yetu ni kupanda Makanisa 15 mpaka kufikia mwaka 2028 (In my calling I started Kiuinjilisti service in 1986 while under the supervision of a spiritual Father Bishop Paul Dumi and I started calling pastoral in 1993 and in 1994 I established the Church's official Mburahati Baptist Church, Which currently is the senior pastor and currently have Five branches (5) our vision is to plant Churches 15 until the year 2028)

Author

My Photo
KINONDONI, DAR ES SALAAM, MBURAHATI,DAR ES SALAAM, Tanzania

Formulir Kontak

Name

Email *

Message *

Followers

Latest From Lifestyle

Recent

Famous Posts

Pages